โ† All apps & software

Tanclick Messages

Android app Install on your device

TanClick SMS ni programu ya Android inayosaidia biashara kutuma SMS za kiotomatiki, kufuatilia wateja, kutangaza bidhaa na kuongeza mauzo kupitia mawasiliano ya kisasa.

15 Downloads
Download

For Android phones and tablets. Install the APK / get from the download link.

Screenshots

About

anClick SMS โ€“ Badilisha Kila Simu na SMS Kuwa Fursa ya Mauzo

TanClick SMS ni programu ya Android iliyoundwa kwa ajili ya wafanyabiashara wanaotaka kuongeza mauzo, kuboresha huduma kwa wateja na kuhakikisha hakuna mteja anayepotea kutokana na kukosa mawasiliano.

Programu hii hutuma SMS za kiotomatiki (Auto Reply) pale unapopigiwa simu, unapopiga simu, unapopigiwa simu bila kupokelewa au unapopokea simu. Baada ya hapo huendelea kufanya follow-up za kiotomatiki kwa muda uliopangwa hadi utakapomaliza mawasiliano na mteja.

Mbali na hilo, TanClick SMS hukuwezesha kutuma matangazo ya bidhaa, huduma, ofa maalum na taarifa muhimu kwa wateja wako kupitia SMS kwa urahisi.

Programu hii ni suluhisho bora kwa biashara zinazotaka kuwafikia wateja kwa haraka, kuongeza mauzo, kujenga mahusiano ya muda mrefu na kuboresha huduma kwa wateja.

Inafaa kwa:
Maduka na biashara za rejareja
Mawakala wa bima
Mawakala wa nyumba na viwanja
Kampuni za usafirishaji
Hospitali na kliniki
Hoteli na migahawa
Kampuni za utalii
Watoa huduma mbalimbali
Biashara ndogo, za kati na kubwa

TanClick SMS husaidia biashara yako kubaki karibu na wateja, kuongeza nafasi za kufunga mauzo na kukuza biashara kupitia mawasiliano ya kiotomatiki.

Features

  • Auto Reply SMS kwa Missed Calls
  • Auto Reply SMS kwa Incoming Calls
  • Auto Reply SMS kwa Outgoing Calls
  • SMS za Follow-Up za Kiotomatiki
  • SMS za Matangazo ya Bidhaa na Huduma
  • Kampeni za SMS kwa Wateja
  • SMS Templates Zinazoweza Kubadilishwa
  • Ufuatiliaji wa Mawasiliano ya Wateja
  • Rahisi Kutumia na Kusanidi
  • Hifadhi na Usimamizi wa Wasiliani
  • Msaada kwa Biashara za Aina Zote
  • Hupunguza Kupoteza Wateja
  • Huongeza Mauzo Kupitia Automation
  • Husaidia Kujenga Mahusiano na Wateja
  • Interface Rahisi na Rafiki kwa Mtumiaji